Neno lako ni upanga
Ukatao Kuwili (ukatao kuwili)
Usemapo jambo we si
Mwanadamu ohh ugairi
Neno hili ni roho na uzima (yeah yeah)
Neno hili ni roho na uzima
Nina imani ndani yako
Nina amini Neno lako
I am confident in you
I am confident in your word,
Neno, huchambua nia na fikira
za mioyo yote, mioyo yote
Najitahidi kupata kibali chako
Sioni haya kwa kazi yako
Nikifundishwa na Kufundisha Neno lako
Najitahidi kupata kibali chako kwa Neno lako
Nina imani ndani yako
Nina amini Neno lako
I am confident in you
I am confident in your word,