Za Baba lyrics
Chorus
Nangoja baraka za, baraka za Baba... Za Baba za Baba... Ooooh zako Yesu... Za Baba za Baba
baraka za, baraka za Baba... Za Baba za Baba... Ooooh zako Yesu... Za Baba za Baba
Verse 1 wonder
Ukiinuliwa na wanadamu watakushusha chini Tena
Na Mambo yako sio ya Siri Tena
Juu ni yeye tuu ata zunguka akikusema
So niache tuu nimtegemee waneema
Nimemuona toka kitambo, akiahidi Ye hufanya Mambo
Na hajawahi niangusha bado... Bado bado

Verse 2 seed
Hatanikifunga macho ni baraka naziona Tena
Na ya kwanza ni ya kwamba umeniamsha mapema
Na ya pili nakiri We ndio Alpha Omega
Na ya tatu ya nne na ya tano, sijawahi omba mkate ukasema No, uko nami milele n yes I know... Ooooh yeeh
Nimemuona toka kitambo, akiahidi Ye hufanya Mambo
Na hajawahi niangusha bado... Bado bado
Nimemuona toka kitambo, akiahidi Ye hufanya Mambo
Na hajawahi niangusha bado... Bado bado
Chorus
Nimemuona toka kitambo, akiahidi Ye hufanya Mambo
Na hajawahi niangusha bado... Bado bado
Nimemuona toka kitambo, akiahidi Ye hufanya Mambo
Na hajawahi niangusha bado... Bado bado
Chorus
Na ya tatu ya nne na ya tano, sijawahi omba mkate ukasema No, uko nami milele n yes I know... Ooooh yeeh
Na ya tatu ya nne na ya tano, sijawahi omba mkate ukasema No, uko nami milele n yes I know... Ooooh yeeh
VFX by ACEPHOTOGRAPHYKE & BRUCENT EXTENSION
Audio by Alexix on the beat
#davidwonder #mrseed #zaBaba