username:

password:

 Songs
 Albums
 Diggers
 Comments
 Blogwalls

 About
 Email Me

445,329 Albums + 604,843 Individual Songs
Send
Send
 
Descriptions

Wimbo wa Kusifu | Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja (Music Video)

Playing Next: Poison - (Flesh & Blood) Sacrifice
Random Page  /  Random Song

Wimbo wa Kusifu | Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja | Praise and Thank God's Love (Music Video)

Uangalie ufalme wa Mungu, ambako Mungu anatawala juu ya yote.
Kutoka wakati uumbaji ulipoanza mpaka siku ya sasa,
wana wa Mungu waliongozwa wakipitia taabu.
Katika milima na mabonde walienda. Lakini sasa katika nuru Yake wanakaa.
Nani asiyelia juu ya udhalimu wa jana?
Ni nani asiyelia machozi kwa ajili ya maisha magumu leo?
Ni nani asiyechukua nafasi hii kutoa mioyo yao kwa Mungu?
Nani hataki kutoa sauti kwa shauku na uzoefu wake?

Watu wanatoa vyao vilivyo bora kwa Mungu. Baadhi yao hujuta makosa yao.
Wengine hujichukia kwa ajili ya ufuatiliaji wao wa jana.
Wote wamejitambua, wameona matendo ya Shetani, maajabu ya Mungu.
Ndani ya mioyo yao huishi Mungu, kwa maana kazi Yake imekamilika.

Nani asiyelia juu ya udhalimu wa jana?
Ni nani asiyelia machozi kwa ajili ya maisha magumu leo?
Ni nani asiyechukua nafasi hii kutoa mioyo yao kwa Mungu?
Nani hataki kutoa sauti kwa shauku na uzoefu wake?
Nani asiyelia juu ya udhalimu wa jana?
Ni nani asiyelia machozi kwa ajili ya maisha magumu leo?
Ni nani asiyechukua nafasi hii kutoa mioyo yao kwa Mungu?
Nani hataki kutoa sauti kwa shauku na uzoefu wake?

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433
CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: http://bit.ly/2WHrvj2
App store: https://apple.co/2ZEE29d

Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192

Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma.

#nyimbozakabudu #nyimbozainjili #nyimbozawokovu#tenzizarohoni #nyimbompya #swahiligospelsong #swahiligospel #Injili #kikristo #kenyangospel #tanzaniagospel #ugandagospel #CongoGospel #ZambianGospel #KanisalaMwenyeziMungu

© 2021 Basing IT